JANA:
Kulikua na kikao cha ghafla kati ya Administration na Wizara ya fedha. Lengo ni kuhusiana na fedha ya Psychiatry Mirembe Dodoma.
Majibu: Fedha ya psychiatry huwa inatolewa na chuo (Accommodation and Transportation ) ambayo inakuja kuwa compasated baadae na SAUT main Campus.
Mwaka huu watatoa 5000 kwa siku badala ya 10,000 kama kawaida yao.
Wizara ya Fedha ilikataa na kuendelea kusimamia kutolewa 10,000 kwa wanafunzi.
Leo Wizara ya Fedha ina kikao tena na Administration na Mungu akipenda tunaweza tukafanikiwa kukubaliwa Ombi letu.
Nana Kalimu.
D/M For Finance and Planning
MD 4
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment