Sunday 24 January 2016

TAARIFA.

Wizara ya ulinzi na Usalama kupitia kwa waziri wake Mh. Yekonia Kolingo inapenda kuwatangazia WANASFUCSO wote kuwa:

1. Asiyekuwa na kitambulisho cha chuo alipoti mara moja wizara ya ulinzi na usalama.

2. Kuanzia kesho tarehe 26/01/2016 hakuna mwanafunzi atakaye ruhusiwa kuingia maeneo ya Iteka Complex na maeneo mengine yanayotumika na SFUCHAS kujifunzia, kama hatokuwa amevaa kitambulisho.

3. Tatizo la MD 1 kutokuwa na ulinzi wakiwa John Paul hall tunaendelea kulifanyia kazi na ufumbuzi utapatikana hapa karibuni.

Imetolewa na Xavery Xavery Chilemba.

Kutoka Wizara ya Habari na Mawasiliano.

 
SFUCSO_official BLOG © 2015 - Designed by Templateism.com