PONGEZI NA UKARIBISHO WA WANAFUNZI WAPYA WA MWAKA WA KWANZA
Habarini Wapendwa wanaSFUCSO.
Kwanza napenda kuwapongeza ndugu zetu wapya waliochaguliwa kujiunga na Familia yetu ya SFUCHAS.
Hii ni ishara njema na yakudhihirisha kipaji cha pekee na neema ya Mwenyezi Mungu juu ya safari ya maisha ya Kielimu.
Kwaniaba ya Jumuiya nzima ya SFUCSO , Serikali ya wanafunzi na kwa namna ya kipekee kwa niaba ya Ofisi ya Rais..SFUCSO napenda kuwakaribisha na hakika imekuwa furaha kwetu kuwa nanyi kwa miaka kadhaa ijayo tukiishi kama familia.
Mungu awabaliki wote na aendelee kutujalia Hekima na Busara katika kutekeleza majukumu yetu na Tusome kwa Bidii ili tuweze kulisaidia Taifa letu.
Imetolewa na:
Xavery X, Chilemba.
Naibu Wizara ya Habari.
03:02