Monday 9 November 2015

TAARIFA.

Wizara ya Fedha na Mipango kupitia Waziri wake Alex Lipendele inapenda kuwafahamisha wanafunzi wote kuwa CHECK kwa ajili ya Fedha za meals and accomodation zimefika. Ivyo Loan officer anakamilisha zoezi la kukusanya account number za wanafunzi wachache ambao hawakuwa na account na wamekuwa allocated kwa mwaka huu.

Zoezi likikamilika tutawaomba kuja kusign ili Pesa tuingiziwe Mapema.
Tunaomba uvumilivu kwa kipindi hiki.

Imetolewa na Wizara ya Habari.

About the Author

Unknown

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

Post a Comment

 
SFUCSO_official BLOG © 2015 - Designed by Templateism.com