TAARIFA.
Kwa wale ambao hawakujiandikisha kwenye Gazebo la Chuo kwa ajili ya University Offer, leo munaombwa kujitokeza Iteka kutakua na Mwamvuli wa Tigo pale Mwembe Sharifu.
Zoezi litaanza kuanzia saa 4 asubuhi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment